Waziri wa Uwekezaji Mh. Angellah Kairuki Atembelea Harsho Group

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Mh. Angellah Kairuki Atembelea Kampuni ya Harsho Group Kuangalia Uwekezaji uliofanyika na kupongeza kazi nzuri inayofanywa na Kampuni ya Harsho Group katika sekta ya Mifugo na Vifungashio vya aina Mbalimbali vinavyozalishwa Kiwandani

Mh. Angellah Kairuki Alitembelea Kampuni ya Harsho Group Kuangalia Uwekezaji uliofanyika na kupongeza kazi nzuri inayofanywa na Kampuni ya Harsho Group katika sekta ya Mifugo na Vifungashio vya aina Mbalimbali vinavyozalishwa Kiwandani

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Mh. Angellah Kairuki Akiwa katika kitengo cha utengenezaji vyakula vya mifugo Harsho Milling , akiangalia jinsi vyakula vinavyoandaliwa kwa kutumia mitambo ya kisasa.

Waziri Angellah Kairuki akiangalia jinsi utengenezaji wa Mifuko ya PP Inavyotengenezwa na Harsho Packaging

 
Waziri Ofisi ya Waziri mkuu Uwekezaji Mh. Angellah Kairuki kwenye Picha ya Pamoja na Baadhi ya wafanyakazi Wa Harsho Packaging
 

Farasi avamia banda letu

 Katika Maonyesho ya Nanenane kanda ya Kaskazini yanayofanyika katika viwanja vya Themi Njiro – Arusha, Farasi akiwa kwenye Banda la Harsho Group Mara baada ya Kupita karibu na Banda La Harsho Group na kuhisi Harufu Nzuri ya Chakula Cha Farasi (Harsho Horse Pellet) Chakula cha kipekee kwa Ajili ya Farasi Kinachotengenezwa Na Harsho Milling . Karibu sana kwenye Banda letu kujionea vyakula mbalimbali vya mifugo vyenye matokeo makubwa kwa Wanyama

Harsho kushiriki maonyesho ya 8/8 mikoa miwili

Harsho Group inawakaribisha watu wote kitembelea Katika maonesho ya kilimo nanenane 2020 katika kanda za maonesho , Kanda ya kati Dodoma, Kanda ya Kaskazini Arusha, kwenye Mabanda ya Maonesho ya Harsho Group Kuanzia Tarehe 1/8/2020 Hadi Tarehe 8/8/2020 kupata elimu ya Bidhaa Bora zinazotengenezwa Na Kampuni ikiwemo vyakula mbalimbali vya mifugo, vifungashio vya aina mbalimbali pamoja na Bidhaa nyingine Mbalimbali, Tafadhali Usipange Kukosa